Hebu Chekeni kidogo: Dinner with a Girlfriend

Hapa ni kuwaambia tu wasifungue macho hati watakaposikia '' Amen! ' alafu hiyo unaenda kuimalizia mlangoni.

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
Sijacheka ila kijasho kimenitoka utadhani ndo mimi dah...
 
hahahaaa unatetemeka kwa woga, ndio tatizo la kufumaniwa yaani hata uwe baunsa vipi unajikuta tu umekuwa mdogo kama piritoni
Sijacheka ila kijasho kimenitoka utadhani ndo mimi dah...
 

Tehe,tehe,tih,tih,heh, heh uuuwih nimeipenda hii.
 
uwiiiiiiii jamani mbavu zangu mie more more & more joke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…