Hebu Chekeni kidogo: Dinner with a Girlfriend

Aisee, inabidi unajifanya unaenda msalani au kupiga simu nje halafu unatoka nduki tena bila kuangalia nyuma. Maana hii imekaa vibaya ile mbaya.
 
Naskia yalishamkuta jamaa mmoja hapa kitaani,
anaishi jirani na saudari

Hapo jamaa iytabidi apotezee kama sio nyumb hiyo.

hapo inatakiwa jamaa aage mapemaaaaaa na asepe zake yasije yakamkuta majanga.
 
aombe MUNGU yule dingi asikumbuke tu, akimkumbuka amekwisha

Yaani unadhani dingi atasahau mteja aliyemuungisha condoms nyingi kiasi hicho?

Jamaa laizma achezee kichapo asipokua makini.
 
HAHAHAAAAA Dingi siku hio aliuza ndomu nyingi kweli kumbe jamaa anataka akaijeruhi familia yake, kha! sosoliso upo?

Last edited by a moderator:

Lol.. Inawezekana lakini mzee akafurahia kimoyo moyo.. Amepata mkwe rijali mwenye nguvu za ziada.. Au unasemaje mpwa Elli..?
 
Last edited by a moderator:

Tehe tehe tehe!....nice one!
 
Urijali hadi kwa mkewe? naua mtu wallaah, kwa mabinti zangu kwenyewe itakua ngumu sasa hadi kwa my wife wangu, No No
Lol.. Inawezekana lakini mzee akafurahia kimoyo moyo.. Amepata mkwe rijali mwenye nguvu za ziada.. Au unasemaje mpwa Elli..?
 
Hapo mie ningekomaa kama simfahamu wala kumuona huyo baba mtu halafu naendelea na mission kwa yeyote atakayeingia kwenye anga zangu
 
Aisee ngeomba kwenda washroom na nngesepetukia hukohuko kwa dirishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…