hebe muangalieni huyu mzee

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,406
hiki nacho ni kipaji au sifa zimezidi...



 
Huyo sifa hana kipaj chochote huyo!kuna uwezekano huyo ni kula kulala ndo mana ana muda wa kufanya upumbavu!
 
Huyo sifa hana kipaj chochote huyo!kuna uwezekano huyo ni kula kulala ndo mana ana muda wa kufanya upumbavu!


tena yaelekea an deka sana kwa mzee wake asipo nunuliwa nguo za thukukuu analia na kula hali siku hiyo
 
wanaita 'sifa za kijinga',kumbe wazungu nao crap eeh?
 
Ni mashindano au?maana mpaka lije kuisha lazima aji**ee
 
Toto tundu akikua ataacha. Hama kipaji chochote hapo ni mwendo wa kugonga kwa wingi kila kitu....Chakula na Pombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…