Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
mmelamba galasa, nambari 45!
Hakuna chochote hapo, msubiri drama tu na kuuza sana magazeti, the player is unmanageable!
kikosi hiki...
Gabriel (19)
Ignazio Abate (26)
Mattia De Sciglio (20)
Cristian Zapata (26)
Kevin Constant (25)
Kevin-Prince Boateng (25)
Riccardo Montolivo (28)
Antonio Nocerino (27)
M'Baye Niang (18)
Mario Balotelli (22)
Stephan El Shaarawy (20)
Forza Milan...
Sempre milan...
Waswahili wanasema upele humpata asie na kucha...
Inter na Man City hawakuwa na kucha, na ndio maana majanga yakawakuta.
Mario amekuja nyumbani kwao.
Mario amekuja itumikia timu aliopata kuipenda tangu mdogo.
Mario amekuja katika Royal Family.
Mario amefika nchi ya ahadi.
Waja wa Mola limewachooma.
Hiki kikosi cha Berlusconi acha tu ... kinakaribia kile cha miaka ya 90 kilichotawala Ulaya cha akina Baresi, Maldini, van Basten, Gullit, Rijkaard, Donadoni, Albertini, etc.
Waswahili bana!
Sasa hapo wa kumfananisha na hao greatest ni yupi? Unamjua baresi, basten na gullit weye? Au unasimuliwa tu? Usifananishe usingizi na kifo bana, ukifa hauoti na wewe unaota usiku huu!
Soma kwa makini kabla ya kuhara hadharani! lini kukaribia = kufanana?