Kila niki zoom naona sikuoni kumbe uko huku? Njoo huku kdg
Kila niki zoom naona sikuoni kumbe uko huku? Njoo huku kdg
Chungulia kwenye hiyo kona hayupo pekeyake
Chungulia kwenye hiyo kona hayupo pekeyake
hahahaha we ulikuwa pande zipi
Nilikua mtaa wapili tu hapo.....
avatar yako inadanganya we si mpole kumbe
ulikuwa unachepushwa eeeh
Kwa upambe tu huna mpinzani hahahaha, nimesham-pm so nasubiri tu ujumbe wangu mmh. #Thread closed#.