nina-kithembe
Member
- Sep 14, 2013
- 63
- 14
Mambo dear!
Salam sana ama baada ya salam mimi ni mzima wa afya hofu na mashaka ni juu yako wewe uliye mbali na upeo wangu.
Dhumuni la barua hii ni kutaka kukueleza kua nakupenda kwa dhati na kukuacha wewe mpaka mlima kilimanjaro uporomoke.
Natumaini ombi langu limekubaliwa.
Toa salamu kwa Lara1, Mamdenyi, watu8, Miss strong.
Wako akupendaye,
Martin Andekisye
0768*****34
Thatha ww Kaunga thiumuthaidie mwenzako huoni anatetheka thana over heven on ethi?Martin Andekithye anathema kampenda thana hevenoneth
Nashauri PM iwe kama chitchat maana haina umuhimu tena
Martin Andekithye anathema kampenda thana hevenoneth
Thatha ww Kaunga thiumuthaidie mwenzako huoni anatetheka thana over heven on ethi?