Heaven on desert Mwanza

wewe jamaa achaga ujinga basi! yaan na wewe unajianzishia thread as a celebrity wakati wewe ni raia tu wa kawaida?? hivi mods wapo wapi??! this is ridicolous! ----in silly.....paleka akili zako facebook hapa ni kwa ma great thinkers.
 
kama unataka uwe star mwombe boss akulipie urekodi na wewe,i think itakuwa vizuri maana utakuwa umejifunza mengi kwenye mziki,unamfanyia promo na wewe unajifanyia promo pia
 
Romantic atakuwepo kilimanjaro hotel jioni hii!

Hahahahaaaa!
 
This boy have 'guts'...ingekuwa mimi na haya ma'kritiki' yote ya JF ningeshaasha kuposti! Enjoy Sato bana..achana na 'vijiba roho' (haters) hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…