Heartbreak ๐Ÿ’”

Wanawake na entitlement ni kulwa na doto., kwaiyo jamaa anasurvive kupitia nyota yako ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Umeshapigwa tukio mpenzi wangu, nilishakwambia njoo kwangu tutumie nyota zetu wote hutaki. Ona sasa inatumika yako pekee mwenzio yake kaweka AKIBA. ๐Ÿคฃ Siku akitoka hapo anaenda kutumia akiba yake ya kwako inakuwa imeisha๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž

Lakini mbona nyota zipo nyingi tu angani, kwanini mgombanie nyota moja. ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Acha kunishobokea we shoga kila uzi unanitajataja, mishangazi mama zako na dada zako, ukinitag uwe na cha maana cha kuniambia mpumbavu wewe ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Anastazia nilikuambia tuwe pamoja nikupende na kukutunza ukanijibu mbovu haya bwana...
 
Uko poa lakini, naamini umepoa sasa
 
Huyo ni mwanaume dhaifu sana na ana dosari nyingi mno,ni lazima ajirekebishe kama anataka kuishi kwa furaha duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ