Heartbreak 💔

Mimi deki nishapiga sana. Kuanzia tiles mpaka Zege. Sana yani ila ndio hivyo nikaishia kuambulia kibuti 😂.
Nawapenda wapiga deki kwakweli 😹😹 sema haikua riziki Kwa mkeo😹 ngoja nitafute niisome
 
Njoo inbox nikunong'oneze jambo
 
Hata Anna naye hana mambo mengi, tena kasema anapenda kwendewa uvinza na wewe ukasema ndio maeneo yako huko..!!

Huoni km ni watu mnaofanana tabia ma mitizamo? 😹😹
Kanikataa kipensi😹😹😹
 
Sasa ukikosea usipigwe who are you. 🤜 Humu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…