Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,305
- 5,662
vinajikutaga ni visafisha nyota hivi kumbe ligi daraja la kwanza huko!.kwani kabla ya wewe kuja kwenye maisha yake si alikuwa ana survive tu, so hata ukiondoka ata survive tu... ๐ ๐
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.
Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.
Offline till further notice ๐๐๐.

kwani kabla ya wewe kuja kwenye maisha yake si alikuwa ana survive tu, so hata ukiondoka ata survive tu... ๐ ๐
Nouma sanaWewe hujawahi kumkosea,
kitendo cha kusema, anasafiria nyota yako, maana yake ulikuwa unataka umtawale kwamba bila wewe, yeye sio kitu