MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 942
Habari za usiku wadau wa jukwaa hili...
Naomba kufahamu kama kuna mtu humu ndani amesoma kozi yenye jina tajwa hapo juu au anaifahamu kwa maana ya kwamba pengine anafundisha....rafikiye anasoma au nduguye ....kuna maswali ningependa kumuuliza kama hatojali PM.
Natanguliza shukrani.