Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
- Thread starter
-
- #41
Nonsense
Ni kweli aisee, ngoja nianze somo la kumuelewesha landlord kuwa hiki ni kifaa cha kawaida tu, na wala sio anasa, akishaelewa somo tu fundi Zuku anaingia kazini! teh teh!
Wakuu baada ya abalysis kwa muda sasa nimeamua kuvuta kazuku home. sasa hebu tuitizame kama ni kweli ndivyo ilivyo ama inaopambwa tu. Nimevunjavunja hii post as imekataa zaidi ya mara nne. ndetichia, morphine, na maishapopote, et. al. naamini hii inawuhusu.
Hiyo picha ya kwanza ina decoder mbili, zote za zuku, ila hiyo nyeusi (ya chini) ni old model, na hiyo ya juu ni new model zao. Poleni nimetumia kasimu kangu kufotoa, picha haina ladha.
View attachment 66287
FRONT PANEL
Kwanza kabisa hii Decoder and PVR, upande wa mbele ndo kama ulivyo hapa, na nit touch sensitive (no button) ukigusa, taa ya blu ndo inawaka. On the far right side kuna sehemu ya kuweka smart card. Ila for some reasons haipo sijui kwanini, ila channel zipo fine showing.
View attachment 66288
haya touch 'skrini'...
REAR continues
View attachment 66294
Kwa bahati mbaya au nzuri nilisahau kfotoa remote controller yake, I'll be back for it. maishapopote, nilitazama baby tv, aise kiukweli imekaa kitoto, inafaa sana. Na nilipoingia Viasat Crime, madocumentary ni balaa sana, nimepata shida kulala intime. na kuna channel za Zuku movies, ziko kama tano au sita hivi, na kuna mbili zimejirudia (ila moja moja zipo liosasa limoja mbele, so ukikuta movie balaa ipo katikati unaweza kuicheki lisaa limoja nyuma ilipoanzia - I like the idea. Ni kama ilivyokuwa M-net West miaka ile kipindi naitazama kwa watu. teh teh)
morphine, nadhani nimekuwahi, ila mimi sitapandishiwa kodi inavyoonekana, maana nimeweka mahusiano mazuri, jamaa akichukua receiver nampa tu cable yangu ya pili from the dish,. ili naye atazame. problem solved.
Ndetishia, Internet ndo iko mbioni, sijajua wataofa spidi gani, na pia sasa who knows kama bei ndo itapanda ama kushuka baada ya tcra's deadline (kama hawata extend of course.)
kwa sasa niishie hapa, ila tu ni kwamba, sijafanikiwa kuangalia program moja mpaka mwisho, nimekuwa nikiflip through the channels like after every 5 minutes, so sad! I just want to watch everything!
Me nimeridhika na easy tv baada ya kuhama star times
santeeeee, sasa mbona una deocoder mbili za zuku zote? Mie kile kidish tu ndio kinanipa mawazo sijui ntakifichia wapi mwenye nyumba asikione maana najua tu kitaleta nuksi ya kupandishiwa kodi :A S 39:
Mkuu, hapo ni wakati n imekwenda kuchukua dukani. nikakuta wameweka hivyo, ya zamani na ya sasa. Hiyo ya zamani nimeona haiona chochote unusual zaidi ya av connector na adaptor nyuma kama sijakosea.
Niko Morogoro...hiyo startimes hawapo na hiyo antenna labda ununue king'amuzi tu, nilikuwa ZUKU wameniboa siwalipi tena ila nashukuru dish lao zuri durable na sasa nalitumia kwa receiver yangu kupokea channel za Kenya ikiwepo K24 halafu naona kuna FEED ambayo startv naona wanajaribu mle...test transmission. Kwa ufupi TCRA hawatutendei haki walitakiwa kuwalazimisha wote hawa waweke all local channel na pia king'amuzi kiwe kimoja tofauti iwe ni smart card tutakayonunua kwao ili kupata channel tuzitakazo.....by the way big up Abood television anatupatia mipira ya EPL 100% locally u can access SUATV (wanaunga ITV) na STARTV in Morogoro. Cable nayo ni nzuri hasa kwa wale wanaounganisha EPL kwa waarabu
Hizi issue bwana, hizi programme zao zote ukiwa na dish la nchi 8 unapata hizo channel zote bure, they are just free channel,ndio maana za kihindi ni nyingi sana
Turudi kwenye radio channel sasa, local radio stations zinapatikana? Bila kusahau ziletetezi za kuweko ITV na Chanel 5 maana kile ki-Noah chao nona kina hizo lablel za TV stations
jamni huko Kwenye ZuKu kuna chaneli inayoitwa E africa Au..???
Nafikiri unamaanisha dishi la futi nane.
Nafikiri unamaanisha dishi la futi nane.
ZUKU hawabadiliki, wanataka wateja basi waongeze local channels na waache kunyofoa channel kwenye kifurushi cha 20,000Mdau Zuku walikuboa nn?
ZUKU hawabadiliki, wanataka wateja basi waongeze local channels na waache kunyofoa channel kwenye kifurushi cha 20,000