He who laughs last, laughs longest

Hahahaa chezea nguvu ya umma....wa Tanzania hawakuelewi kabisa wao wameshaambiwa mabilioni yamechotwa...mambo ya capacity charge sijui vitu gani hawajui wao wanachojua ZIMECHOTWA....hata ukijifanya kauzu utatoka tu
 
Achana na hayo majizi, ila huyo aliyefulia hajafulia kuchagua jiko... we waonaje? kitu cha kule kule mwisho wa leli...
 
Hahahaa chezea nguvu ya umma....wa Tanzania hawakuelewi kabisa wao wameshaambiwa mabilioni yamechotwa...mambo ya capacity charge sijui vitu gani hawajui wao wanachojua ZIMECHOTWA....hata ukijifanya kauzu utatoka tu

lakn tunacheza sindimba bado wanajiuzuru bila kuzirudisha wanakula life mamaae zao.
 
God is always in the side of the oppressed and robbed of their resources.

Eagerly waiting for him to be prosecuted and retire all the proceeds he and his accomplices have shamelessly shared.
 
Walicheka kicheko cha dhihaka mjengoni ila sasa wanaenda kucheka uvunguni mwa vitanda vyao
 
Hahahaa chezea nguvu ya umma....wa Tanzania hawakuelewi kabisa wao wameshaambiwa mabilioni yamechotwa...mambo ya capacity charge sijui vitu gani hawajui wao wanachojua ZIMECHOTWA....hata ukijifanya kauzu utatoka tu
Hivi watanzania nani ametuloga, ati tuna furahia watu kujiuzulu halafu hatu ulizi fedha za escrow zitarudishwa vipi hii ni akili kweli?
 
Rais keshasema fedha za ESCROW ni za IPTL ..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…