PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,431
Kazi ya kutafuta mwenza ni ya mwanaume na sio mwanamke..
Mwanamke huwa anasuburi kumpata mume na wala sio kazi yake kutafuta
Nyie wanawake mnaotafuta waume au wachumba jiangalieni ni wapi mnakosea
... Nani kasema ni who finds a husband?
Wakati gani?
Asa mkuu inatokea umemwelewa baharia Kama zote halafu usubiri nini kwa mfano, Ni full kutafutana
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimsikilize huyo bado yupo 19th century ajui mda umeenda
We ukimuelewa baharia mfungukie ukishindwa kufunuka we mtege tu na ile mitego yenu ile natural zile mbinu zenu zile mlizoumbiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio hawa wanafungua I'd mpya wakisha zeeka ndio wanakuja kutafuta mumeKutafuta kuna maana pana na kila mmoja anayo nafasi yake katika hili. Kwa dunia ya sasa ni lazima kwa mabinti kusocialize ili waoaji tuwaone. Unataka kuolewa alafu unajifungia ndani kwenu na ukija JF hutaki jamaa waje posta mpya (PM), unataka uolewe na kakaako?