He! Shoga anataka kunitoa

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,976
Reaction score
13,435
Mambo zenu?

Ni hivi kuna kaka mmoja alihamia mtaani kwetu lakini huyu kaka alikuwa ni kipikipiki wenzake wanakiendesha,
walimnyanyapaa kwa kweli pale kitaani kwetu,mimi nilikuwa nikimtoa toa sam taimu akiniomba msaada nilikuwa sisiti kumsaidia kwa kuwa ni binadamu mwenzangu na isitoshe hakuwa na ndugu ambao walikuwa wakija kumtembelea kwa kweli na mimi wala sikutaka kujua sababu zilizomfanya huyu mwanaume mwenzangu akubali kuhemewa.

Basi ilifika wakati huyu shoga akahama pale mtaani kwetu na mimi sikujua ni wapi alikohamia. Baada ya miaka kama 10 kupita huyu kaka kaja nyumbani kwetu kunitafuta na aliponipata akaniambia ya kwamba anataka kunipa zawadi ya nyumba nichague mimi ni maeneo gani kati ya haya (Manzese, migomigo, kino na mbagala) ili aninunulie lakini kwa sharti la kwamba siku ya ufunguzi wa nyumba atafanya sherehe ya kunikabidhi akiwa pamoja na mume wake aliyempata huko Ulaya na baadhi ya mashoga wengine wa jijini Da sa am nao watakuwepo.

Je,unadhani ndugu zangu watanielewa vipi kwenye suala hili?

Je,niikubali hii ofa au nimtolee mbavuni?

Nalog off
 
unatakiwa u-log off mazima,inaonekana unavutiwa na magari ya volkswagen yenye injin nyuma
Hapana kiongozi mimi nazikubali kweli kweli Toyota,ila hii volkswagen ndio imenijia na mpya hiyo aisee.
Nalog off
 
Mmmmh Mtu akupe zawadi kubwa namna hiyo bila sababu yoyote. Anyway jaribu kujihoji nafsini mwako na hata ikibidi kusali naamini utapata jibu sahihi
 
Mmmmh Mtu akupe zawadi kubwa namna hiyo bila sababu yoyote. Anyway jaribu kujihoji nafsini mwako na hata ikibidi kusali naamini utapata jibu sahihi
wewe tu ndio hauna moyo wa kutoa bi dada,hii ni zawadi ya kawaida mno ila nitasali kama ulivyonishauri ili Mungu aniongoze kwenye njia sahihi.
Nalog off
 
wewe tu ndio hauna moyo wa kutoa bi dada,hii ni zawadi ya kawaida mno ila nitasali kama ulivyonishauri ili Mungu aniongoze kwenye njia sahihi.
Nalog off
Sio tu sina moyo wa kutoa bali hata wa kupokea zawadi ya aina hii kwangu ni ngumu ni mpaka niwe nimejiridhisha pasipo shaka moyoni mwangu. Hata hivyo hongera kumbe hii ni zawadi ya kawaida mno nadhani mimi bado naishi Enzi za ujima.
 
Ye mwenyewe inamuwia vigumu. Mpaka kaanzisha thread unadhani anaichukulia poa kama anavyoongea? I doubt!
 
Mmmmh Mtu akupe zawadi kubwa namna hiyo bila sababu yoyote. Anyway jaribu kujihoji nafsini mwako na hata ikibidi kusali naamini utapata jibu sahihi

Hata mimi nimeshangaa sana, unajua kuna vitu hutakiwi hata kuwaza sana vinajieleza vyenyewe. Avatar ya mleta thread hii nayo magumashi.
 
Sio tu sina moyo wa kutoa
bali hata wa kupokea zawadi ya aina hii kwangu ni ngumu ni mpaka niwe
nimejiridhisha pasipo shaka moyoni mwangu. Hata hivyo hongera kumbe hii
ni zawadi ya kawaida mno nadhani mimi bado naishi Enzi za ujima.
na ndio maana ninaomba mawazo yenu kwa kuwa kichwa kinaning'ata sana nikilifikiria hili suala.Nalog off
 
Ye mwenyewe inamuwia
vigumu. Mpaka kaanzisha thread unadhani anaichukulia poa kama
anavyoongea? I doubt!
Yaani wewe ndio umenielewa kuliko maelezo aisee ni mtihani.Nalog off
 
Hata mimi nimeshangaa sana,
unajua kuna vitu hutakiwi hata kuwaza sana vinajieleza vyenyewe. Avatar
ya mleta thread hii nayo magumashi.
Hii avatar ina miaka minane hapa au sijui wewe unaitafsiri vipi? Nalog off
 
Mmmmh Mtu akupe zawadi kubwa namna hiyo bila sababu yoyote. Anyway jaribu kujihoji nafsini mwako na hata ikibidi kusali naamini utapata jibu sahihi

Mbona mimi nataka kukupa zawadi kubwa tu zaidi ya hiyo kwani umenifanyia nini kikubwa zaidi ya kusoma michngo yako hapa! bora huyo analipa fadhira alizosaidiwa kipindi chake kikiwa kigumu!
 
Hii avatar ina miaka minane hapa au sijui wewe unaitafsiri vipi? Nalog off

Hata ingekuwa mika mia moja lazima tuifananishe na mind zako napengine hata muonekano wako, na nukuu sahihi ya watu8 "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"
 
Aisee hapo kimbia tena kwa miguu yako yote miwili ikiwezekana uibebe na miguu upate spidi. Kuna movie moja nilipata kuiangalia na hao majamaa wanambinu nyingi sana za kuwaingiza watu katika hiyo ishu na moja ya njia kubwa wazitumiazo ni kutumia fedha walionayo.

Utapewa hiyo nyumba na wewe utakuwepo, watakutegeshea kitu chochote e.g. kukupulizia dawa ya usingizi, kukuwekea madawa kwenye kinywaji au kukuchanganyia na pombe kali, ukipiga tu hiyo unalewa na kupoetza fahamu kabisa, jamaa wanakula tigo (the same ilitokea katika hiyo movies). Baada ya hapo nawe unakuwa mfuasi

Kuwa makini, acha tamaa, mkimbie huyo jamaa aisee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…