He doesn't walk his talk!

He doesn't walk his talk!

Brainy Chick

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
64
Reaction score
21
Hi wenyeji!
Most of the time bf wangu ndio anaset ground rules the relationship yetu,shida ni kwamba najikuta nazifata peke yangu. Nimeshacomplain countless times but habadiliki. Mfano tunaweza kukubaliana kuwa hakuna kucommunicate na wapenzi wa zamani, lakini yeye unakuta anaendelea. Naombeni ushauri wadau.
 
Achana naye. hata mkikubaliana hakuna mahusiano ya nje ataenda. Piga chini, ni dalili ya mtu muongo, yani kuna watu wako hivyo tu lazima adanganye au bora hata ajidanganye mwenyewe ndio aone raha.
 
If we cant learn from our mistakes, we will learn from those of others!! Sioni shida ya nani ana-set grounds rules, hasa kama ni za muhimu na zina ukweli. Ninaona shida katika mmoja, hasa aliyezi-set kutozifuata na huku akisisitiza yule mwingine azifuate. Hapa ndipo hakuna fairness.

Ili ajifunze, mwambie umuhimu wa kufuata ground rules. Ikiwa hataki hilo it simply means there are no more ground rules.
 
Come on! You cant expect a man to do as he says! You make him Girl! Halooooooo!!!!!!! Men got no sense of humour at all!

Ukitaka mwanaume afanye au asifanye kitu just trick him! Never reason with a man in a common ground!

Mfano mimi kuna mdada alikuwa anamtongoza tongoza kwa text, sasa nikimcofront anadai it aint his fault ila ni fault za huyo mdada kujipendekeza! He is incoent. Im just imagining things! Nikasema Okaaaaay! So you are enjoyin the attention! We will see about that!

Siku anaoga nikachukua simu yake nikamtex yule dada "Demu gani wewe unajitongozesha kwangu, nimekuchoka nimekuchoka, hata hio K yako siitaki! Kusoma hujui hata picha huoni! SIKUTAKI!!!! Mwanamke gani mbaaaaya hadi naogopa utaniharibia watoto. Incase humjui demu wangu mtafute ujipime na wewe kinuka mkojo! Na hii ni last warning ole wako unitafute tena, nakuja hapo kazini kukutukana mbele ya wafanyakazi wenzio *************************!!!!!!!!!!" Nikaisend, afu nikaidelete sent items! Afu kimyaaaaaaaaa! (Dnt blame me people! I did him a favour! He had no balls to make that happen bt i did with a single text)

Toka siku hiyo sikuona text ny.oko toka kwa yule dada! Angejuaaaa! Mhhh! Kuna mtu nae mumewe alikuwa na kimada afu kimada kikapewa Cami wakati my shosti hana hata bajaji na yule kimada akaanza kuleta fyoko fyoko! Weeeeeeeee! After long bettles na mumewe na wazazi wasimamizi wa harusi zisizo zaa matunda she consulted me Kubwa la Maadui! We solved it dear just in a day!!!!!:yo:
 
Mmmmmh, we ni noma Lara 1!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
unaweza ukajitutumua kuandika sms baadae mshikaji akiona kimya anapiga then mwizi anamtumia sms yake, kesi inaanza upya
 
Come on! You cant expect a man to do as he says! You make him Girl! Halooooooo!!!!!!! Men got no sense of humour at all!

Ukitaka mwanaume afanye au asifanye kitu just trick him! Never reason with a man in a common ground!

Mfano mimi kuna mdada alikuwa anamtongoza tongoza kwa text, sasa nikimcofront anadai it aint his fault ila ni fault za huyo mdada kujipendekeza! He is incoent. Im just imagining things! Nikasema Okaaaaay! So you are enjoyin the attention! We will see about that!

Siku anaoga nikachukua simu yake nikamtex yule dada "Demu gani wewe unajitongozesha kwangu, nimekuchoka nimekuchoka, hata hio K yako siitaki! Kusoma hujui hata picha huoni! SIKUTAKI!!!! Mwanamke gani mbaaaaya hadi naogopa utaniharibia watoto. Incase humjui demu wangu mtafute ujipime na wewe kinuka mkojo! Na hii ni last warning ole wako unitafute tena, nakuja hapo kazini kukutukana mbele ya wafanyakazi wenzio *************************!!!!!!!!!!" Nikaisend, afu nikaidelete sent items! Afu kimyaaaaaaaaa! (Dnt blame me people! I did him a favour! He had no balls to make that happen bt i did with a single text)

Toka siku hiyo sikuona text ny.oko toka kwa yule dada! Angejuaaaa! Mhhh! Kuna mtu nae mumewe alikuwa na kimada afu kimada kikapewa Cami wakati my shosti hana hata bajaji na yule kimada akaanza kuleta fyoko fyoko! Weeeeeeeee! After long bettles na mumewe na wazazi wasimamizi wa harusi zisizo zaa matunda she consulted me Kubwa la Maadui! We solved it dear just in a day!!!!!:yo:
Mekushindwa mdada,I wish I had your balls.
 
If we cant learn from our mistakes, we will learn from those of others!! Sioni shida ya nani ana-set grounds rules, hasa kama ni za muhimu na zina ukweli. Ninaona shida katika mmoja, hasa aliyezi-set kutozifuata na huku akisisitiza yule mwingine azifuate. Hapa ndipo hakuna fairness.

Ili ajifunze, mwambie umuhimu wa kufuata ground rules. Ikiwa hataki hilo it simply means there are no more ground rules.
Nimeshamwambia but naona mambo ni yaleyale. Akifanya yeye sio kosa,nikifanya mimi ni kosa.
 
Hizo ndo rules za uhusiano wenu. Follow his steps. Akiona na wewe unawasiliana na ex zako nae atatia akili. Ngoma unacheza kuendana n mdundo atii! Reggae ukicheza kama blues utakanyagwa!
 
Lara 1 umetisha ile mbaya,wanawake wangekuwa na uwezo wa kutatua matatizo ndani ya nyumba kama ulivyofanya basi ndoa nyingi zingekuwa salama,sasa si utumalizie hiyo stori ya kimada kupewa gari maana umeniacha natamani kujua kilichojiri.
 
Hi wenyeji!
Most of the time bf wangu ndio anaset ground rules the relationship yetu,shida ni kwamba najikuta nazifata peke yangu. Nimeshacomplain countless times but habadiliki. Mfano tunaweza kukubaliana kuwa hakuna kucommunicate na wapenzi wa zamani, lakini yeye unakuta anaendelea. Naombeni ushauri wadau.

Kamshtaki mahakamani.
 
Come on! You cant expect a man to do as he says! You make him Girl! Halooooooo!!!!!!! Men got no sense of humour at all!

Ukitaka mwanaume afanye au asifanye kitu just trick him! Never reason with a man in a common ground!

Mfano mimi kuna mdada alikuwa anamtongoza tongoza kwa text, sasa nikimcofront anadai it aint his fault ila ni fault za huyo mdada kujipendekeza! He is incoent. Im just imagining things! Nikasema Okaaaaay! So you are enjoyin the attention! We will see about that!

Siku anaoga nikachukua simu yake nikamtex yule dada "Demu gani wewe unajitongozesha kwangu, nimekuchoka nimekuchoka, hata hio K yako siitaki! Kusoma hujui hata picha huoni! SIKUTAKI!!!! Mwanamke gani mbaaaaya hadi naogopa utaniharibia watoto. Incase humjui demu wangu mtafute ujipime na wewe kinuka mkojo! Na hii ni last warning ole wako unitafute tena, nakuja hapo kazini kukutukana mbele ya wafanyakazi wenzio *************************!!!!!!!!!!" Nikaisend, afu nikaidelete sent items! Afu kimyaaaaaaaaa! (Dnt blame me people! I did him a favour! He had no balls to make that happen bt i did with a single text)

Toka siku hiyo sikuona text ny.oko toka kwa yule dada! Angejuaaaa! Mhhh! Kuna mtu nae mumewe alikuwa na kimada afu kimada kikapewa Cami wakati my shosti hana hata bajaji na yule kimada akaanza kuleta fyoko fyoko! Weeeeeeeee! After long bettles na mumewe na wazazi wasimamizi wa harusi zisizo zaa matunda she consulted me Kubwa la Maadui! We solved it dear just in a day!!!!!:yo:

AND YOU ARE STILL SINGLE N DESPERATE!

I doubt the credibility of ur advice. :yo:
 
Lara 1 umetisha ile mbaya,wanawake wangekuwa na uwezo wa kutatua matatizo ndani ya nyumba kama ulivyofanya basi ndoa nyingi zingekuwa salama,sasa si utumalizie hiyo stori ya kimada kupewa gari maana umeniacha natamani kujua kilichojiri.

Bi dada bwana aliolewa sasa kama ujuavyo Mumewe akapata kimada HR wa kampuni flani kubwaa tu ana Masters kama mia! Shosti wangu form 6! Basi mumewe ikawa kama kajiweka kwa huyu HR coz si unajua tena wasomi anampa idea za biashara na nini na fake class aliyonanyo HR, wanaisha kama ulaya kwenda kudine sehemu za maana, kuhangout kwenye golf na nini! Mumewe kujiona kakosea kumuoa shosti hana exposure! Mshamba! Sasa shosti had no shot at all!

Mumewe harudi nyumbani, akirudi sms hafuti, ikawa sio siri tena, mara anaenda na mtoto kwa Hr anamwambia huyu mamdogo! She was so frustrated, endesha kesi za kifamilia na wewe! Mwanaume sugu! Akaja kuniambia ananijulisha tu sh is dating again ndoa imeshindikana! Ndo akaniambia! Nikamwambia njia iko mbona ya kusambaratisha hilo swala! Its not gonna be easy but its possible! Je uko tayari kwa vita!? Saivi we attack from HR'S side, we mumeo usimuulize chochote

Akajifanya aah! Mi ugomvi sipendi, wala siwezi, nikamwambia kojoa ulale! Na mumeo ataoa siku si nyingi! We si ndo umechokozwa? Mgomvi yule kule we una retaliate tu! Akasema yuko tayari kwa vita!

Stage 1. Kaenda ofisini kwa yule dada na mtoto analia watu wote wanamshangaa anaomba kumuona HR Manager! Kwikwi! Vilio! Kabeba na mtoto anamfinya wanalia wote! Mbona lilikuwa Tukaio! Watu wanamjali reception mama unalia nini? Flani mtu mbaya sanaaaa! Kanichukulia mume wangu! Nateseka! Hihihihiiiiiiiiii! Mi sina kazi! Waaaaaaaaaaaaaaaaa! SI unajua umbea wa ofisini watu wanaitana kumekucha huku usipitwe! HRM akaja kumuingiza ofisini! Kilio tu! Akamwambia atamkanya yeye aende nyumbani! Yule dada alikoma watu wanakonyezana tu! Ofisi aliona chungu!

Stage 2. Tukamvisia baada ya tukio akawa anakimbia soo ofisini anampigia simu mzinzi mwenzie analia akaenda kukaa resturant flani jirani amngoje aje! Tukamfata na kuanza kuanza kumchamba! Alikaa sakafuni na kuweka mikono kichwani! Tukamtishia tutammwagia maji ya moto usoni tuone nani atamtongoza! Au wahuni wambake na kumtupa kwenye mtaro. Tukamwambia programu ya kuachiwa Mume haipo ni vita tu! She should Pack Well oooooooh! Its not gonna be an easy ride! Tukamwambi ndo maisha yake ya kila siku yatakuwa hivi! Sisi hatujasoma wala Class hatuna hata ya kupakaziwa! Ni vita tu! Tukamwambia kama umeona tukio tuliokufanyia la kuja ofisini sasa ndo ujue hatutishiii ni vitendo tu! Next time tunakufata kanisani, kwenye sherehe! Maisha yako yatakuwa hivi hivi. Ndo ujiulize is it worth it!

Basi kesho yule dada akatuma text, anaomba msamaha yaishe, yeye mumewe hamtaki tena! Alikomaaaa! Mumewe baada ya kuuchwa kule akaanza kujirudisha kimya kimya! Saa kumi yupo ndani! Mara amununulie mkewe gari, kujikosha tu baada ya kufanya madudu! Mpaka leo ndoa ipo! Na wameongeza mtoto mwngine!. Bila kufanya u alshabab mbona angeporwa mume! Chezeya!
 
AND YOU ARE STILL SINGLE N DESPERATE! I doubt the credibility of ur advice. :yo:
Kwann unasema hivyo?mapenzi yanatesa sana ndugu ndo maana mtu anaweza kufanya jambo lolote bila kujali impact yake ili airidhishe roho yake.
 
Bi dada bwana aliolewa sasa kama ujuavyo Mumewe akapata kimada HR wa kampuni flani kubwaa tu ana Masters kama mia! Shosti wangu form 6! Basi mumewe ikawa kama kajiweka kwa huyu HR coz si unajua tena wasomi anampa idea za biashara na nini na fake class aliyonanyo HR, wanaisha kama ulaya kwenda kudine sehemu za maana, kuhangout kwenye golf na nini! Mumewe kujiona kakosea kumuoa shosti hana exposure! Mshamba! Sasa shosti had no shot at all!Mumewe harudi nyumbani, akirudi sms hafuti, ikawa sio siri tena, mara anaenda na mtoto kwa Hr anamwambia huyu mamdogo! She was so frustrated, endesha kesi za kifamilia na wewe! Mwanaume sugu! Akaja kuniambia ananijulisha tu sh is dating again ndoa imeshindikana! Ndo akaniambia! Nikamwambia njia iko mbona ya kusambaratisha hilo swala! Its not gonna be easy but its possible! Je uko tayari kwa vita!? Saivi we attack from HR'S side, we mumeo usimuulize chochoteAkajifanya aah! Mi ugomvi sipendi, wala siwezi, nikamwambia kojoa ulale! Na mumeo ataoa siku si nyingi! We si ndo umechokozwa? Mgomvi yule kule we una retaliate tu! Akasema yuko tayari kwa vita!Stage 1. Kaenda ofisini kwa yule dada na mtoto analia watu wote wanamshangaa anaomba kumuona HR Manager! Kwikwi! Vilio! Kabeba na mtoto anamfinya wanalia wote! Mbona lilikuwa Tukaio! Watu wanamjali reception mama unalia nini? Flani mtu mbaya sanaaaa! Kanichukulia mume wangu! Nateseka! Hihihihiiiiiiiiii! Mi sina kazi! Waaaaaaaaaaaaaaaaa! SI unajua umbea wa ofisini watu wanaitana kumekucha huku usipitwe! HRM akaja kumuingiza ofisini! Kilio tu! Akamwambia atamkanya yeye aende nyumbani! Yule dada alikoma watu wanakonyezana tu! Ofisi aliona chungu!Stage 2. Tukamvisia baada ya tukio akawa anakimbia soo ofisini anampigia simu mzinzi mwenzie analia akaenda kukaa resturant flani jirani amngoje aje! Tukamfata na kuanza kuanza kumchamba! Alikaa sakafuni na kuweka mikono kichwani! Tukamtishia tutammwagia maji ya moto usoni tuone nani atamtongoza! Au wahuni wambake na kumtupa kwenye mtaro. Tukamwambia programu ya kuachiwa Mume haipo ni vita tu! She should Pack Well oooooooh! Its not gonna be an easy ride! Tukamwambi ndo maisha yake ya kila siku yatakuwa hivi! Sisi hatujasoma wala Class hatuna hata ya kupakaziwa! Ni vita tu! Tukamwambia kama umeona tukio tuliokufanyia la kuja ofisini sasa ndo ujue hatutishiii ni vitendo tu! Next time tunakufata kanisani, kwenye sherehe! Maisha yako yatakuwa hivi hivi. Ndo ujiulize is it worth it!Basi kesho yule dada akatuma text, anaomba msamaha yaishe, yeye mumewe hamtaki tena! Alikomaaaa! Mumewe baada ya kuuchwa kule akaanza kujirudisha kimya kimya! Saa kumi yupo ndani! Mara amununulie mkewe gari, kujikosha tu baada ya kufanya madudu! Mpaka leo ndoa ipo! Na wameongeza mtoto mwngine!. Bila kufanya u alshabab mbona angeporwa mume! Chezeya!
Nimeamini kweli Lara 1 wewe ni kubwa la maadui
 
AND YOU ARE STILL SINGLE N DESPERATE!

I doubt the credibility of ur advice. :yo:

KOMAAAAAAAAAAA! I AINT SINGLE OR DESPERATE!!!!!! I got a lonterm BF babu weee! Tunapendana sanaaa (Ofcourse sometimes tunapeana yellow card na nini)

Alafu ushawahi kujiuliza UKISHAOLEWA THEN WHAT?????????????

Mimi i have a plan with my life! Siishi tu ilimradi! Nina malengo yangu na yanazingatia sanaaa time factor.

1. Nasoma na kujicertify , nakusanya experience to build my career ili by the time im 25 nifikie level flani za juu sanaaa za management! And failure is not an option!

2.Nategemewa ati! Kuna watu wangu back in the days niliwapotezaga wakafeli so niliwaahidi nitawasomesha, ndo nawaendeleza saivi sasa na unajua elimu kwa zero brain ni ghali sanaaa! Bt i cant give up! Jst Taking responsibilty for my past actions.

3.Kuna vitu nilijipangia kuwafanyia wazazi wangu! Ndo nimeanza kutekeleza! Siwezi kuahirisha coz siwezi jua kama kesho watakuwepo! Im jst payin them back for their kindness! And make them feel special to me!

4.Kuna malengo yangu ya kiuchumi nilijiwekeaga ndo najitahidi kukamilisha!

MAISHA SIO NDOA TU!!!!!!!!! Kama ulivoona hapo juu uchumi wa ndoa sina saivi! Wala uchumi wa kuzaa sina! Na siwezi kuharibu maisha yangu jst because!

After all for me QUALITY YA MAISHA BAADA YA NDOA INA MATTER ZAIDI KULIKO NDOA YENYEWE!!!!! Mambo ya kuolewa unaishi vibaya vibaya siyawezi naweza hata kusepa baada ya mwezi wa ndoa! No thanks!

Kama nilivokwambia kuhusu my Life Plan! Hata baada ya ndoa nina plan na expectations zangu niishi maisha gani na wanangu niwape maisha gani! Sasa mambo mazuri hayataki haraka!

Mimi na mwenzangu bado tunatafuta maisha! Hata tusipoona mimi na wanangu lazima tuishi vizuri! Period! Failure is not an option! Again.

Ofcourse nikipata Bonge la Bwana linanikamilishia yote hayo tuoane fasta! Afu na mimi nimempenda! Naolewa tu mbonaaa! Ila vinginevo hapana!

MAISHA NI KUCHAGUA NIMECHAGUA KUTAFUTA MAISHA! (GET RICH OR DIE TRYING)
 
Back
Top Bottom