Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Imekamilika ina HDMI cable 3 pmoja na hio ARCView attachment 1654977
Optical cable ndo suluhisho la sound kwa sasa duniani! Amini amini nakwambia,usifananishe optical cable na cable za nyavu nyavu.Wana tech wa humu ndani leo nina swali lenu, hivi ipi ni tofauti kati ya hdmi na digital optical cable??. Ipi ina higher resolution sound? Kuna watu wanakwambia hdmi wengine digital.
Mimi nina cable zote lkn bado nakosa choice nitumie ipi kwenye na home thieta. Nasubiri majibu yenu wakuu.View attachment 1654911
View attachment 1654912
baba unakwama wapi sasa???
Hapo system ipo ok. Chomeka hdmi cabke hapo kwenye HDMI port 1 iyo yenye ARC
Baada ya hapo kama kwenye setting ya tv upande wa audio hakikisha ARC ipo on
Ok, kuna kitu nisaidie hapa natumia hdmi cable niliyokuta ndani ya box la HT sasa kuna hii jamaa alinambia ipo vzr kuliko ya sony yenyew unasemaje kwa hiliView attachment 1654990
Hii ndo yakununua
ipo sawa hakuna shida. ina urefu gani??
Hio ni famba mkuu,hapo umepigwa! Tafuta 4K UHD/crystal clear HDMI cable
kama ni five meters ni chaka. hdmI nzuri mwish 1.5 mts ikiwa ndefu zaidi hapo ni shida. Cable ikiwa ndefu siganal zinapotea njiani. tafuta cable nzuri isizidi 2 meters. hakikisha system zako zipo karibu
Pamoja mkuu [emoji110]
ukimaliza hapo hapo hakikisha una movie ya 5.1 audio sio ilimradi movie tuu
Inakua movie ya 4k??
Sio lazima iwe ya 4k inaweza ikawa ni 1080p ikawa na 5.1
Una computer na bundle kama Gb tatu nikuelekeze namna ya kupa hizo movie au ww unapatikana wapi
Sio lazima iwe ya 4k inaweza ikawa ni 1080p ikawa na 5.1
Una computer na bundle kama Gb tatu nikuelekeze namna ya kupa hizo movie au ww unapatikana wapi
Nipo africana mbezi nambie upo wapi nije na external ya 1tb [emoji28][emoji28][emoji28]
Nielekeze pia jinsi ya kupata
unajua kudownload movies kwenye torrents sites??
Yap, Natumiaga 1337x na piratesbay
sidhan kama hii ni sahihi. Nadhani inategemea na ubora nimetumia kanisani HDMI 10m ziko 4 huu mwaka wa 5 hazijawahi kuleta shida wala kupoteza channel kama unavyosema.kama ni five meters ni chaka. hdmI nzuri mwish 1.5 mts ikiwa ndefu zaidi hapo ni shida. Cable ikiwa ndefu siganal zinapotea njiani. tafuta cable nzuri isizidi 2 meters. hakikisha system zako zipo karibu
sidhan kama hii ni sahihi. Nadhani inategemea na ubora nimetumia kanisani HDMI 10m ziko 4 huu mwaka wa 5 hazijawahi kuleta shida wala kupoteza channel kama unavyosema.