BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,052
Kweli kabisa, nili pair sony HT na TCL tv ikawa haileti responseHDMI Cable ndio yenye uwezo zaidi. Ila tatizo linakujaga kuna baadhi ya TV ukitumia HDMI ARC huwezi kupata surround sound
HDMI Cable ndio yenye uwezo zaidi. Ila tatizo linakujaga kuna baadhi ya TV ukitumia HDMI ARC huwezi kupata surround sound
Tumia Optical Cable sauti safi kabsa
Umeniketa kwenye Anga zangu
Tumia HDMI cable hasa ni kama version 2.0 maana ina bandwidth kubwa ya kusafirisha data cha msingi ni kuhakikisha Rdaio yako na tv yao zina sifa zifuatazo
HT yako iwe na - ARC Yaani audio return chanel
TV yako iwe na ARC pia/ HDMI audio out
View attachment 1654936
Optical mwisho wake ni 5.1 surround na HDMI inabeba hadi akina Dolby atmos na kina DTS X
ambao ni 5.1.2 na 7.2.4 na kuendelea
Najua nuapata shida wapi unahitaji kuplay video yako aither kwenye HT au TV.
HT nyingi haziwezi play videos kubwa hii sijui ni kwa nn. badala yake unatakiwa kuplay kwa kutumia TV angalau inaplay vitu vingi.
angalizo langu ili upate Efects kuna mambo matatu
1. Hakikisha Home theatre yako kwenye HDMI out yake kuna ARC/ Audio return chanel kama haijaandikwa HDMI - ARC basi jua huna bahati na huwezi kwepa matumizi ya optical cable
2. Hakikisha TV yako ina HDMI out/ Au HDMI In - ARC. kama tv yako ni nzuri ipo hivyo unaweza pata effects
3. Content unayo play. Hii ndio facta kubwa. unaweza fanya setup yako vizuri kube video yako/ movie yako unayo play ni utopolo yani ina 2.0/ Sterio wakati unatakiwa na audio Suurround yani kuanzia 5.1 audio
View attachment 1654950
Kama una maswali mengi au kama hujaelemwa niulize. na kwa msaada zaidi wa kupata hizo movies zenye surround kuanzia 5.1 ninazo zaidi ya 60. nina external ya TB imejaa movies
View attachment 1654951

ina spika za nyuma? au ni just Bar na Woffer?
Bar ina spika 3 na surround 2
sawa twende taratibu kiongozi. hapo ndio nilikuwa nataka kama ni hivyo system yako ni ya 5.1
Hizo spika za bar unaweza kuzitenganisha kila moja ikabaki peke yake??
Hapana spika za bar huwez tengenisha
sawa twende taratibu kiongozi. hapo ndio nilikuwa nataka kama ni hivyo system yako ni ya 5.1
Hizo spika za bar unaweza kuzitenganisha kila moja ikabaki peke yake??
Ina waya 3 View attachment 1654972
sawa vizuri. kama ni hivyo hiyo ni home theatre thou wamekubania kuziunganisha hizo speaker kwenye bar bila kuwa na option ya kuzichimoa.
Anyway sio mbaya hapo sasa tuhamie kwenye TV yako.
Je TV yako ina HDMI - ARC??