Mimi nilikuwa mtumishi serikalin(mwalimu)na baade nikaamua kwenda kusoma ila nkanyimwa ruhusa,nilivoondoka mshahara ukafungwa.Na tangu mwezi wa saba mwaka jana nimefutwa kabsa payrole na pale HAZINA KUU nimeenda tangu mwezi huo chek no yangu haisomi.
Juzi nimetoka kupga oral interview ya tume ya ajira na kuna uwezekano nkapata kazi .Je nikijaza fomu za ajira kuna uwezekano wa Hazina kuonekana mara mbili kwa mazingira kama haya?