Kweli hapa ndio JF
Maswali yake hata Google haiyawezi!!!!
wadau kuna yeyote kapigiwa simu kuwa aripoti j3 hazina?
Hapa Dodoma kuna Hazina 2 ya Wizara ya fedha na Hazina wanakoishi watu sasa mm nimekipigiwa kote nikawatembelee ndugu zangu jioni sio j3
MY TAKE kwanini msiwe mnamalizia habari kamili kuliko kutuma km mnakimbizwa ????