HataZamani ilikuwa nikisikia mtu ana hubiri hivi nilikuwa naona anajisumbua ila baada ya kupata mauza uza aisee niliamini Mungu yupo. Na I do not make any jokes concerning God
Nitakupigia simu nikitulia inamana sasa hauko Mbeya.?Hayupo huyo😅
Mimi nipo sana na sana.
Hizo sheria mnazodai za mngu ziletwa juzi juzi na wakoloni , wametukuta tunakunywa mbege chini ya mlima kimanjaro maelfu ya miakaMImi nakunywa mbege kiasi.
Sheria ya Mungu inasemaje kuhusu kunywa wine?
Unajua muujuza wa kwanza Yesu kuufanya?
Aligeuza maji kuwa wine. John 2: 1-11
Yesu au Biblia haijakataza kunywa wine. Ila imekataza ulevi.
Pia Biblia inafundisha kuhusu kiasi. Kila jambo u alofanya liwe kwa kiasi
Sio pombe tu kuna mambo mengi ya sheria. Unanipa kazi ya kuandiak sana...hata kula vitunguu vibichi Bwana alikataza.
Mbona huzungumzii kuhusu kula kibudu?
Mangj kunywa kwa afya ila usije ukawa unakunywa spirited alcohol haina afya yeyote acha kabisa konyagi kvang kiwingu
Bwashee swali lako ndio litaparanganya kabisa , walokole , roma na wasabato itazaliwa vita vya wenyewe kwa wenyewe hapoWapi umejibu? Umejibu kwa kuniambia Mungu yupi?
Acha kuleta taarabu,jibu swali.
Mimi nimekuuliza wewe,sijataka kumuuliza yeyote,
Kumbe unajibu ili nipende jibu lako? Mimi nataka jibu sahihi,sio jibu nitakalo lipenda.
Mleta mada anaongelea Injili,huyo mwingine kavamia uzi anaongelea Biblia! Hawajui kua Injili na Biblia ni vitabu viwili tofauti kabisa,Bwashee swali lako ndio litaparanganya kabisa , walokole , roma na wasabato itazaliwa vita vya wenyewe kwa wenyewe hapo
Mimi naamini katika Mungu, huyu Mungu ni nani?Wapi umejibu? Umejibu kwa kuniambia Mungu yupi?
Acha kuleta taarabu,jibu swali.
Mimi nimekuuliza wewe,sijataka kumuuliza yeyote,
Kumbe unajibu ili nipende jibu lako? Mimi nataka jibu sahihi,sio jibu nitakalo lipenda.
Anadika tena,maandishi yako hayaonekani.Mimi naamini katika Mungu, huyu Mungu ni nani?
Mungu aliyewatoa Israel Utumwani akawavusha bahari ya Shamu. Akawalisha Manna na kuwapa maji jangwani. .
Walokole kila siku nawataja humu , majitu yakisha fanya madudu ndio yanakimbilia kuokoka , humo unakuta majambazi sugu, majizi , milupo na kila aina ya kubuhu na mtu akisha nasa ka UKIMWI chake ndio anaenda kujifajiri humoMleta mada anaongelea Injili,huyo mwingine kavamia uzi anaongelea Biblia! Hawajui kua Injili na Biblia ni vitabu viwili tofauti kabisa,
Halafu hawa walokole hua ni wagumu sana kuelewa,wao wakisha mezeshwa basi humwambii kitu zaidi.
Sawa. Sina cha kukwambiaHizo sheria mnazodai za mngu ziletwa juzi juzi na wakoloni , wametukuta tunakunywa mbege chini ya mlima kimanjaro maelfu ya miaka
SawaAnadika tena,maandishi yako hayaonekani.
Inasikitisha sana.... et walokole ni kweli?Walokole kila siku nawataja humu , majitu yakisha fanya madudu ndio yanakimbilia kuokoka , humo unakuta majambazi sugu, majizi , milupo na kila aina ya kubuhu na mtu akisha nasa ka UKIMWI chake ndio anaenda kujifajiri humo
Legeza ubongo bwashee 😃Sawa. Sina cha kukwambia
Mini nimesoma vitabu vingi sana ambavyo vimeandikwa zamani sana.
Kusema kuwa vitabu hivi vimekuja juzi na wakoloni maana yake unataka kubishana tu
Lakini uwepo Mungu unaishi ndani yangu. Ungeweza kusema unataka kuamini kwa namna gani ningekusaidi ila kwa sababu ya kubishana sitaweza kushindana na wewe kwanza wewe kijana uko vizuri kushindana
Nimenawa mikono umeshinda wewe.
Amani ikae kwako bwashee.Legeza ubongo bwashee 😃
Na kula vodka hapa amani imejaa bwasheeAmani ikae kwako bwashee.
Huna hoja,Sawa
AS i said before. Ukibahatika kwenda shule uwe unabishana kwa hoja.
Matusi? Kejeli za kusema sijui taarab, kubeza sio ubishani wa hoja
Umeshindwa kujibu maswali yangu,endeleeni kuwapelekesha tu hao mlioamua kuwaita KONDOOTufanye umeshinda wewe, mimi nimenawa mikono
Wakati wangu,wewe unakuhusu nini?Uwe na wakati mwema
Kwa nini unatafuta shari na mimiHuna hoja,
ulivyonipa amri nikae kimya ndio hoja hiyo? Kama umeenda Shule na akili yako ndio ipo hivyo,basi hiyo Shule bila shaka ulienda kusomea ujinga,na ukapasi kwa alama za juu sana,
Umeshindwa kujibu maswali yangu,endeleeni kuwapelekesha tu hao mlioamua kuwaita KONDOO
Wakati wangu,wewe unakuhusu nini?
Basi sawa 🙂Na kula vodka hapa amani imejaa bwashee
Huna hoja tambaa acha kutafuta huruma,Kwa nini unatafuta shari na mimi
Sio lazima tuwe na mawazo sawa
Kumbe akili yako ilikutuma kua unashindana?Umeshinda wewe ni hivyo tu tuishie hapo.
Sawa.Huna hoja tambaa acha kutafuta huruma,
Kumbe akili yako ilikutuma kua unashindana?