Hazina yako iko wapi......?

😁😁😁 hapo napo hakumaanisha physical material.
 
Watalisikia neno ila watapuuzia
 
Mdogo wangu mangi, angalia usije ukakufuru....nataka nikufundishe kitu hapa mbona unaweka trash kweye mada ya Mungu

"Do not store up for yourselves treasures on earth, where moths and vermin destroy, and where thieves break in and steal. But store up for yourselves treasures in heaven... For where your treasure is, there your heart will be also." (Matthew 6:19–21)

KAtika ukuaji wangu nimekulia Catholic. Nikiwa kama mkatoliki tumefundishwa sana kuweka hazina mbinguni

Shida iko sana katika tafsiri. Uhalisia wa hili neno uko hivi...
"Usihifadhi hazina ambayo inayotolewa na mwili, narudia neno earth linamanisha mwili na sio dunia.
Ila hifadhi hazina ambazo zinatoka kwa Bwana tu maana hazina uharibifu kabisa..."

kwa
Mungu kuna hazina nyingi sana ikiweno karama mbalimbali. Hivyo basi hazina yako itoke kwake na wala si kwa upotevu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…