Hazina ya CCM ni hii...!

Kanina

JF-Expert Member
May 26, 2013
277
80
Wanajamvi, mnajua ma-ccm bado yanaamini watanzania bado ni wajinga kupindukia? Ndio maana bado hawaamiini watanzania wana uwezo wa KUFANYA MAAMUZI YA BUSURA YA KUWATOA MADARAKANI!

Mifumo feki ya elimu waliyotubambika kwa miaka hii 54, ililenga kuwafanya watanzania wawe na uwezo mdogo wa kufikiri na kufanya maamuzi kwa faida ya wao (ccm) kuendelea kutawala nchi hii milele. Na hii ndio dhana iliyo nyuma ya ile kauli mbiu yao ya "Kidumu Chama Cha Mapinduzi"..

Soma hapa; The Top 10 Countries with the Lowest Population IQ - TheRichest
[/SIZE]
 
Back
Top Bottom