Hayo maji yana kila aina ya uchafu.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,944
lagos-slum.jpg
 
Hicho ni kisiwa maarufu kwa uvuvi..kipo ziwa Victoria upande wa kenya.palikuwepo mgogoro kati ya kenya na uganda kuhusu hicho kisiwa.
 
Duuu ni wapi huku ?
Mkuu hiyo NIGERIA napo palikuwa kama bone la Jangwani... kadri miaka ilivyoenda pakajaa maji na kutunga marsh (ongezeko la bahari na majitaka na mito) !!
Mungu apishe mbali kwetu huku kwenye mabonde panaweza kuiga mfumo wa kujaa maji na wakazi washindwe kuhama.....
GIUSEPPE Tuchukuwe tahadhari Ona Nigeria hiyo!!
 
Basi kama hivyo mpaka Mwanza maji ni machafu
hapo hakuna haja ya kuwa na shimo la choo wala wala shimo la taka, wala bomba la maji, wala huna haja ya kuwa na bafu. baiskeli pikipiki na magari ni za kuchora tu.

Huna haja ya kuwa na viatu, nipeku au ndala tu. kila familia ina mtumbwi wake, kama huna utaendaje dukani au sokoni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom