Faru fausta
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 218
- 143
Simba supporters bado hawakubali kama yanga imeshinda wakati hata magoli tuko juu Kwa 10goals halafu wanasema yanga mjinga ivi mtu anakuongoza kwenye kila mtihani na hata mwalimu akiuliza swali darasani yeye anakuwa wa kwanza kujibu utamwitaje mjinga?Mnyama mkuuubwa ila kachinjwa na kiwembe tu kama kawaida.
Hawa jamaa si unawajua kwa ubishi? Ila watanyamaza muda mfupi ujaoSimba supporters bado hawakubali kama yanga imeshinda wakati hata magoli tuko juu Kwa 10goals halafu wanasema yanga mjinga ivi mtu anakuongoza kwenye kila mtihani na hata mwalimu akiuliza swali darasani yeye anakuwa wa kwanza kujibu utamwitaje mjinga?
Pamoja na ubishi mtu anakuongoza darasani bado unabisha.......Hawa jamaa si unawajua kwa ubishi? Ila watanyamaza muda mfupi ujao