Hayapo tena...!!!

Ka inchi hii kila aina ya vituko na vichekesho vya kukata na shoka
 
Nlipita pale juzi juzi nikakuta wameyang'oa sa sjui wanataka waweke ya mbao😕
 
Nlipita pale juzi juzi nikakuta wameyang'oa sa sjui wanataka waweke ya mbao😕

Pale pameshafanywa chaka la kupiga dili, manake pameshabadilishwa mitindo zaidi ya Mara nne kwa kipindi kisichozidi miaka mitano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…