Haya yataendelea mpaka lini?

Mwizi halali yake kupigwa na kuchomwa moto, mie sitomuonea huruma hata siku moja mtu alioiba kuchomwa moto.
 
Mpaka pale gape baina ya walionacho na wasiokuwa nacho litakapopunguwa
 
Mwizi halali yake kupigwa na kuchomwa moto, mie sitomuonea huruma hata siku moja mtu alioiba kuchomwa moto.

Shem nilikuwa sijui kama huna dini wala hujali utawala wa sheria....nimekusoma leo! akina Rostam et al wanaweza pata hii adha?
 
Shem nilikuwa sijui kama huna dini wala hujali utawala wa sheria....nimekusoma leo! akina Rostam et al wanaweza pata hii adha?
Shem wangu nina dini na naheshimu dini na sheria. Laiti kama uliwahi kuingiliwa na wezi kwenye nyumba yako au kukabwa tu kunyang'anywa kitu kwa ukatili huwezi kuwatetea hawa watu, wezi ni watu wabaya mno mie sina hamu nao, wanaweza kukurudisha mtu kwenye umaskini hawa. Naongea hivi kwa kuwa lilishanipata. Kabla ya hapo nilikuwa nawahurumia mno, lkn baada ya kutaka kutolewa roho na hawa watu sina hata huruma nao.
Kwa nn hawataki kutafuta vitu kwa jasho lao? wakauze hata karanga basi barabarani kuliko kuibia watu na kutoa roho za watu kila siku kwa wizi wao.
Nafuu hao mafisadi wanaoiba serikali lkn sie wananchi tupo salama na roho zetu na vitu vyetu, kuliko hawa wanakufuata kwako na kukukaba na kuiba mali uliyoitolea jasho.
 
Back
Top Bottom