HAYA YANAMAANISHA NINI??

ovimbundu

Member
Joined
Jul 12, 2019
Posts
10
Reaction score
2
Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu

kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake

-DAB
-MKUYENGE

-DUDU LA YUYU

-JIWE
PAPUCHI

-KIPOCHI MANYOYA

Nahitaj maana zake
 
Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu

kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake

-DAB
-MKUYENGE

-DUDU LA YUYU

-JIWE
PAPUCHI

-KIPOCHI MANYOYA

Nahitaj maana zake


Papuchi na kipochi manyoya ni synonyms
 
Jiwe ndio linaloongoza nchi kidikteta na siku hizi limejisahau mno na linataka kuhamishia ikulu na miundombinu yote kule chattle.
 
mengine utayajulia humu humu.
kuna lingine,
maagi mulaga-hii ni ile sanamu inayozaniwa ya jkn iliyotengenezwa na kigwangara kule burigi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…