Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Mizigo inayopita kwenye bandari ya Dar es salaam imeporomoka kwa kiwango kikubwa mizigo ya Congo zaidi ya konteina laki 3 imeporomoka kwa 90%, Zambia konteina laki 2 zaidi 75% kwa kiwango kikubwa bandari inakufa mmeweka VAT $150 kwa kila 20ft konteina wakati bandari ya Mombasa na Beira hakuna hiyo, unapigania kwa nguvu zote mizigo ya Rwanda ambayo haifiki konteina elfu 11. Hii inafanyika Tanzania pekee, wakati Kenya wanapigania soko la Sudan na Uganda. wewe unapigania Rwanda ambayo sukari konteina 200 watatumia mwaka mzima. This is a serious joke, na hii inafanyika kwenye uchumi wa mwendo kasi tu.
John Heche
John Heche