ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,141
- 951
Uelevu wa watendaji wakuu wa Serikali ya JK kila wakati umekuwa ni kubabaisha tupu.
Katika tovuti ya Wizara ya Mambo ya Ndani http://www.moha.go.tz/ambayo inaongozwa na Msomi wa Sheria Laurence Masha, kumeweka "kisanduku cha Maoni" (polls) ambapo Wizara hii nyeti inataka wananchi wasaidie katika kazi zake za kila siku kwa kuuliza swali hili la kizembe na lisilo na busara (nasikitika kuita hivi kwa kuwa inaonekana Masha na Wizara yake wameshindwa kazi yao kwa hili la wananchi kuvamia vituo vya polisi).
Nini mategemeo yajayo kwa hali hii ya mambo?.
Wananchi kuvamia vituo vya Polisi. Je wavamizi wanastahili kuchukuliwa hatua kali?
Ndiyo [ ]
Hapana [ ]
Sijui [ ]