EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
- Thread starter
- #41
Ukiona mtu anaogopa kukuta, ujue anatukanaga watu au lugha kali kwa watu



Ukiona mtu anaogopa kukuta, ujue anatukanaga watu au lugha kali kwa watu



Poa mkuu enjoy your drinkYeah mchai chai upo wakutosha.
Pole na safari mkuu kesho nayo sikuNgoja kwanza nipo napambana na safari tangu asubuhi mpaka sasa,kifika no saa tano usiku.Kuleni bata tu.
Napenda watoto ila utoto ndio sipendi.Bandidu halaa![]()
Napenda watoto ila utoto ndio sipendi.





unatenganishaje utoto na watoto??Nimepita barabarani hapo naona desperados wanafanya yao hapo today.
nikitua tu nipo hapo leo, maana nakaribia kupewa u ambassador wa desperados navyozipendanikitua tu nipo hapo leo, maana nakaribia kupewa u ambassador wa desperados navyozipenda





Nipo Samaki Samaki ya mlimani city, nikitoka hapa nitajua chaka lingine la kwenda malizia, kulala hadi kesho![]()

Ok kaa omBado sija Pata kiwanja cha kufanya replacement ya Board Room
Karibu mamaaNaasoma comments tyuuh mie.
Nchi ndogo bado zinaburuzwaHome watching Belgium Vs Italy

Yanga hatoboi leoKwa Mkapa Yanga wanashinda, kaungane nao ili uwe mshindi!
Nyie ndio wale kila weekend mnaenda kutazama viwanja vyenu ? Na wakati hamjengiKwasisi wengine "free time from work" kama weekend na sikukuu, huwa tunatumia KUTENGENEZEA KESHO YETU itakayosababisha TUACHANE NA AJIRA.
INVESTMENT is BETTER than BUSINESS...!!!
View attachment 1837979
#YNWA
Did that as well by force 😅😅😅Home watching Belgium Vs Italy
Nyie ndio wale kila weekend mnaenda kutazama viwanja vyenu ? Na wakati hamjengi![]()
(Natania tu)



wanaangalia utafikiri kinaumwa