EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
- Thread starter
- #81
Ha ha ha leo namuacha aangalie mwenyewe nitazamia netflixsiku mojamoja nampa kampani tu!









Ha ha ha i know sijisuffocate kila siku 🤣🤣🤣
Mtuelewe tu inapofikia kipindi hiki na world cupHa ha ha leo namuacha aangalie mwenyewe nitazamia netflix 😊siku mojamoja nampa kampani tu!
Mtuelewe tu inapofikia kipindi hiki na world cup




tunavaa rimoti shingoni kama ID




Maana tunapewa taarifa kabisa saa kumi na mbili TV yangu 🤣🤣🤣🤣!!Mtuelewe tu inapofikia kipindi hiki na world cup
Utaangali marudio ya ttamthilia zako jumamosiMaana tunapewa taarifa kabisa saa kumi na mbili TV yangu!!





Yes naweza so hamna tatizo na zinakuwa saved kwenye archive ya TV! Kwanza hayo mayowe yanayopigwa na yupo peke yake 🤣🤣🤣sijui angekuwa na kampani ingekuwaje...Utaangali marudio ya ttamthilia zako jumamosi
![]()
Ana mzukaaaaa, ukiona hivyo unambana mwachi siku za.mpira aje Bar au njoo nae utaenjoy saanaYes naweza so hamna tatizo na zinakuwa saved kwenye archive ya TV! Kwanza hayo mayowe yanayopigwa na yupo peke yakesijui angekuwa na kampani ingekuwaje...




Embu pics tuoneNdani baridi, nimetoka nje naota jua mithili ya kenge / mjusi.
Ha ha ha simbani.... hapendi kwenda bar inawezekana kwasababu si mnywaji so....Ana mzukaaaaa, ukiona hivyo unambana mwachi siku za.mpira aje Bar au njoo nae utaenjoy saana
Try this utanishukuru.maana utarudi nae home yupo very happy![]()
Ha ha ha simbani.... hapendi kwenda bar inawezekana kwasababu si mnywaji so....



hongera mamaa awe anakupa simu yake ukae nayo kama HANYWI 





Hilo pia sio tatizo!hongera mamaa awe anakupa simu yake ukae nayo kama HANYWI
![]()
Mi ntakuwa loliondo nataka nikasuuze suuze na mbuzi kidogoJumapili ndio narudi zangu Dar nliwamisi sana washakaji wangu wa Dar, tukutane mnadani Kibamba Chama.
Kwa sasa bado nipo Dodoma hapa Rainbow soon ntakua Bambalaga tupe location
Upo wapi saivi
Unafanya nini
Tutamanishe vibe la hapo bila kusaha kapicha
![]()
Mkuu enjoy life is too shortKama upo Mwanza kuna sehemu tunaita MWANZA LAKE VIEW FARM ni Lakini sana.