Haya weee ushapata utakalo....

Haya weee ushapata utakalo....

cheriefrance

Senior Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
134
Reaction score
40
Unajua nini kama nikikupenda nitakupenda kwa dhati na nikikuchoka nakuchoka haswaaaaaa.... lkn sitoweka maisha yangu rehani kwaajili ya upuuzi huu...sasa we nenda tu....tusijuaneeeeeee wala usije kunitafuta tena :smile-big:Hebu niache nijilie raha.....:smile-big:
 
  • Thanks
Reactions: amu
ndo yule jamaa alivyomjibu nini au yeye ndo kamjibu hivyo jamaa?
 
Hii status ya FB yatafuta nini tena huku?

Unajua nini kama nikikupenda nitakupenda kwa dhati na nikikuchoka nakuchoka haswaaaaaa.... lkn sitoweka maisha yangu rehani kwaajili ya upuuzi huu...sasa we nenda tu....tusijuaneeeeeee wala usije kunitafuta tena :smile-big:Hebu niache nijilie raha.....:smile-big:
 
Unajua nini kama nikikupenda nitakupenda kwa dhati na nikikuchoka nakuchoka haswaaaaaa.... lkn sitoweka maisha yangu rehani kwaajili ya upuuzi huu...sasa we nenda tu....tusijuaneeeeeee wala usije kunitafuta tena :smile-big:Hebu niache nijilie raha.....:smile-big:

is your guy here inside or just polluting the area:A S-fire1:?
 
Naona umeamua kumpasha live kwenye jiko la mchina, unapoelekea utamtaja na jina.... Pole yako kwa kuachwa njia PANDA!!!!
 
Sina haja ya kumtaja jina lake najua wapo washenga kama wewe wanaoweza kumpa ujumbe wake :smile-big: Mjulishe asiwe na wasi kama ndicho anachohofia hicho....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom