cheriefrance
Senior Member
- Jun 5, 2013
- 134
- 40
- Thread starter
- #41
Ndio wapi huko?hebu come zis way>>>>>>>
Ndio wapi huko?hebu come zis way>>>>>>>
singel but not available 🙂so kwa kifupi upo single au kwenye complicated relationship...?
we nawe!!!!I learn from my mistakes and it makes me a stronger person !
maisha yenyewe mafupi shurti raha ujipe mwenyewe...kwanza nakusemesha huku pembeni dada mbona unanikaushia jamanii....odo usicheke sana bana!
mahabat yanauma ujue!
ila bora ucheke manake bi dada anasema anataka raha zake!
AWAAAAAAAAAAAAAAAAAAACHWE!
uongo wa nn na wewe?Afadhali na mimi nipumdhike,naona kama uongo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
haya ni matusi au?Mapenzi haya yatafanya watu wagongwe na magari barabarani. Ama kweli si wote waongeao peke yao barabarani ni vichaa.
we nawe!!!!
kha hujaniboa sikuelewi elewi...Nakuboa na ukweliee!
kha hujaniboa sikuelewi elewi...
....Aaahah cheriefrance....unaweza kuwa single usiwe available kweli.....? usiseme hivyooo...singel but not available 🙂
hehehe ndio bwana nipo single lakini sitaki mahusiano usijifanye hamnazo kumkichwa na wewe....Aaahah cheriefrance....unaweza kuwa single usiwe available kweli.....? usiseme hivyooo...
......Haya mama...nime-kuunderstoodhehehe ndio bwana nipo single lakini sitaki mahusiano usijifanye hamnazo kumkichwa na wewe
GOOD GOOD:A S-rose:......Haya mama...nime-kuunderstood
maisha yenyewe mafupi shurti raha ujipe mwenyewe...kwanza nakusemesha huku pembeni dada mbona unanikaushia jamanii....