Haya weee ushapata utakalo....

Haya weee ushapata utakalo....

Unajua nini kama nikikupenda nitakupenda kwa dhati na nikikuchoka nakuchoka haswaaaaaa.... lkn sitoweka maisha yangu rehani kwaajili ya upuuzi huu...sasa we nenda tu....tusijuaneeeeeee wala usije kunitafuta tena :smile-big:Hebu niache nijilie raha.....:smile-big:


Talaka hadharani, kutongozana sirini loh!
 
Naona njiwa umerudi kutoka kutoa salamu.....Mlianza hapa na ndio mmekuja kuachania hapa. Huu utandawazi utatumaliza waTZ, wenzetu walianza mapema na sasa wanajilaumu kwa mfumo walioutumia kwani hautoi nafasi ya kurudi nyuma kujitafakari. Ngoja sisi turudi kwenye mapenzi yetu mnayoyaita ya kishamba kwani jambo kama hili linahitaji busara ya watu wawili 3 na kama likishindikana ndio hao watakaotoa ushauri wa kuachana kistaarabu....Haya yenu ya simu na mitandao hatuyawezi wanetu/wajukuu zetu.
 
Hivi mpaka siku hizi bado watu wanaotendwa kimapenzi wanaliaga liaga kwenye mitandao ya kijamii?
 
waarabu wapemba wanajuana kwa vilemba.
 
Naona umeamua kumpasha live kwenye jiko la mchina, unapoelekea utamtaja na jina.... Pole yako kwa kuachwa njia PANDA!!!!
pamoja na bidada kuachwa njia PANDA.....haya yote ya nini???.....mbona wengi wameumizwa tu humu na wamepiga kimya.....najaribu kutafakari haya mambo nashindwa kuelewa.......ukiumizwa unakaa kimya lakini kulilia uku unajionyesha kuwa hauko strong kuukubali ukweli.....mapenzi yanaumiza lakini usimwonyeshe huyo mtu kuwa umeumia kwa kurusha vijembe.......binafsi bora nilie...nikonde...lakini nikitoka nje mtu asijue nini kinanisibu....loh tuko tofauti ......Mungu kweli fundi...mweeeeh
 
I learn from my mistakes and it makes me a stronger person !
 
ha ha ha snowhite nimeipata
mbavu zaaaaaaaaaaaaangu
 
Last edited by a moderator:
Naona umeamua kumpasha live kwenye jiko la mchina, unapoelekea utamtaja na jina.... Pole yako kwa kuachwa njia PANDA!!!!
Hahahahahahahahahaha lol kweli jf noumaaa yaani kwa jiko la mchina mtu kapashwa
 
Pole mdadaaa jamani lol sio fea mtu unampenda halafu yeye anajifanya hamnazo bora ujipe raha mwenyewe mwaya.
 
so kwa kifupi upo single au kwenye complicated relationship...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom