GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 57,157 110,627 Apr 29, 2024 #1 Steve na Ndaro ni Wachekeshaji wanaokuja kwa Kasi sasa katika Komedi na ukiwatizama usipocheka basi Umerogwa.
Steve na Ndaro ni Wachekeshaji wanaokuja kwa Kasi sasa katika Komedi na ukiwatizama usipocheka basi Umerogwa.
MKATA KIU JF-Expert Member Nov 22, 2010 2,919 6,396 Apr 29, 2024 #2 Binafsi nawapongeza sana. Wamejitengenezea ajira na kuwapa watu wengine ajira pia. Na Mungu anawabariki. Wanapata maokoto mengi
Binafsi nawapongeza sana. Wamejitengenezea ajira na kuwapa watu wengine ajira pia. Na Mungu anawabariki. Wanapata maokoto mengi
Vincenzo Jr JF-Expert Member Sep 23, 2020 13,759 29,246 Apr 29, 2024 #3 GENTAMYCINE said: Steve na Ndaro ni Wachekeshaji wanaokuja kwa Kasi sasa katika Komedi na ukiwatizama usipocheka basi Umerogwa. Click to expand... Jamaa anajua sana
GENTAMYCINE said: Steve na Ndaro ni Wachekeshaji wanaokuja kwa Kasi sasa katika Komedi na ukiwatizama usipocheka basi Umerogwa. Click to expand... Jamaa anajua sana
GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 57,157 110,627 Apr 29, 2024 Thread starter #4 MKATA KIU said: Binafsi nawapongeza sana. Wamejitengenezea ajira na kuwapa watu wengine ajira pia. Na Mungu anawabariki. Wanapata maokoto mengi Click to expand... Kwa jinsi ninavyowakubali sina cha kuwapa ila nawaombea sana Mafanikio mema kwa Mwenyezi Mungu kwa Ukomedi.
MKATA KIU said: Binafsi nawapongeza sana. Wamejitengenezea ajira na kuwapa watu wengine ajira pia. Na Mungu anawabariki. Wanapata maokoto mengi Click to expand... Kwa jinsi ninavyowakubali sina cha kuwapa ila nawaombea sana Mafanikio mema kwa Mwenyezi Mungu kwa Ukomedi.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 57,157 110,627 Apr 29, 2024 Thread starter #5 Vincenzo Jr said: Jamaa anajua sana Click to expand... Ukiona tu GENTAMYCINE nakumbali Mtu au Watu au Kitu basi jua kwa 100% Wako vyema na kiko vizuri. Jamaa wanajua.
Vincenzo Jr said: Jamaa anajua sana Click to expand... Ukiona tu GENTAMYCINE nakumbali Mtu au Watu au Kitu basi jua kwa 100% Wako vyema na kiko vizuri. Jamaa wanajua.
T The atlantic JF-Expert Member Aug 1, 2023 340 591 Apr 29, 2024 #6 Steve kweli hata Mimi ananichekesha. Pwahahahhhhaaaa.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 57,157 110,627 Apr 29, 2024 Thread starter #8 The atlantic said: Steve kweli hata Mimi ananichekesha. Pwahahahhhhaaaa. Click to expand... Huwa nacheka sana pale wakikisema kile Kibwagizo chao kama Ukiwakera cha....Mapenzi tu Kuoga....aaaaaaaaaa....!!!
The atlantic said: Steve kweli hata Mimi ananichekesha. Pwahahahhhhaaaa. Click to expand... Huwa nacheka sana pale wakikisema kile Kibwagizo chao kama Ukiwakera cha....Mapenzi tu Kuoga....aaaaaaaaaa....!!!
GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 57,157 110,627 Apr 29, 2024 Thread starter #9 Mhafidhina07 said: picha kidogo Click to expand... Watazileta wenye nazo.
Half american JF-Expert Member Sep 21, 2018 28,187 73,338 Apr 29, 2024 #10 Kaka yao masanja kanifurahisha sana View: https://www.instagram.com/reel/C6VfTRYMGTk/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Kaka yao masanja kanifurahisha sana View: https://www.instagram.com/reel/C6VfTRYMGTk/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==