Haya wabongo kwa kupenda kuiga igeni na hii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,145

Shabiki wa soka nchini Kenya ambaye ni fan wa kutupa wa Man United John Macharia amejiua wikiendi hii akijirusha kutoka ghorofa ya saba katika Apartment anayoishi baada ya timu yake ya Manchester United kufungwa na Newcastle siku ya Jumamosi
 
mkuu,hili jamaa ni fa***la la kutupwa,ngoja likafie mbele huko.tena naliombea liende jehanam moja kwa moja
 
Shabiki wa soka nchini Kenya ambaye ni fan wa kutupa wa Man United John Macharia amejiua wikiendi hii akijirusha kutoka ghorofa ya saba katika Apartment anayoishi baada ya timu yake ya Manchester United kufungwa na Newcastle siku ya Jumamosi
duh washabiki wa Man United kumbe vichwa vyao wanafugia nywele tu? kwa hali hii wataongezeka kufa tarehe kumi na nne mnapigwa tena!
 
Balaaaa ndio maana ni mzee wa movie tu,mpira nawaachia wanaojirusha kutoka juu
Mie hupenda kujua matokeo hasa ikicheza Tz na nchi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…