haya tena wapi Somalia au Sudan? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haya tena wapi Somalia au Sudan?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 24, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu, hizi ndio picha za kufunza. Thanks.
   
 3. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tuzidi kumuomba Mungu ageuze mioyo ya wanadamu kumuelelekea katika roho na kweli. Wherever kama ni somalia au sudan mauaji yanafanywa na watu wa imani moja. Kumbe baadala ya kumpinga adui halisi yaani ibilisi, watu wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa visinginzio mbalimbali. Laiti dunia ipate viongozi jasiri wa kukemea upuuzi huu.:A S cry:
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Duh mtoto mdogo hivyo anaijua silaha kali kiasi hicho
  Hivi watawala wetu wanayapata haya madhili wanayoyapata wananchi wa kawaida
   
 5. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na kwa hali ninayoiona tz we are on way to go there,in simple way you cant see it but we will reach there.mungu tusaidie
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah hata huyo anayenyonya akikua atakuwa mtaalamu wa mtutu
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Mkuu Erickb52 ukienda mikoa ya mpakani kama kigoma na rukwa kule silaha kama hizo sio issue yaani
  We toa gunia la mahindi unapata mpaka AK47 na risasi sio za kupimiwa unaletewa ndoo imejaa risasi toa kilo kadhaa za maharage
  Yaani kuna wakati waliwakurupusha majangili sehem sehemu huko kasulu mkuu unaambiwa walikamata magazine nne zimejaa na ndoo kama nne za risasi jamaa walikimbia wakaacha
  Sasa hebu fikiria walikuw ana risasi ngapi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa aisee ni kweli nakumbuka wakati niko kigoma shule haya mambo yalikuwa kawaida sana tu..watu wanamiliki silaha kiholela labda siku hizi ndio mambo yamebanwa na wanausalama ila palikuwa noma sana....!
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280

  Mkuu wamebana ila bado hali ni tete aise
  Ulinzi wa kule wa polisi ni wa hali ya juu
  bado magari ya abiria inabidi yasindikizwe na polisi kuvuka ile misitu na maeneo ya wakimbizi
  Bado silaha nje nje
  Na unaambiwa mtandao wa silaha kutokea hayo maeneo ndio unakuja mpaka Lake Natron huku, serengeti na maeneo ya shinyanga kupitia tabora
   
 10. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ni matokeo ya kukumbatia Arab culture.
   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hivi tukirudi kwenye ukweli...je imeshindikana kabisa kudhibiti hili suala?
  Mi nadhani panakuwa na usalama mdogo sana kwa raia wa kawaida coz kuvamiwa na kuporwa mali zao imekuwa kitu cha kawaida tu
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280

  Mkuu Erickb52 sidhani kama ni kushindikana kuzuia hili
  Wapo wanaojua njia zote zinamopita silaha hizi na mitandao ya watu wanaouza
  Na wanajua kabisa hizi silaha zinafanya nini
  Waulize watu wa hiyo mikoa watakupa full story na namna mtandao wa ujangili phaswa wa tembo ulivyo mkubwa katika hiyo mikoa na hii ni kwa vile silaha zinapatikana kirahisi sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah na kwa watu wa namna hii wakiona unawaingilia anga zao kuzuia silaha lazma waanze na wee...!
  Nchi yetu imekuwa kama imebinafsishwa sasa lol
   
 14. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi nahisi watakuwa wataalam kuwashinda wanaoaminika kwa leo!

  Kazi ipo kweli kweli!


   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280

  Kabisa mkuu
  Yaani kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake
  Na ukiona kamba yako ni fupi zaidi unakata unakuwa free kula popote
   
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh kweli kabisa
  Ila kiimani wanapotea sasa ndio shida
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh nimeamini kwenye suala la NSSF kiukweli limeniuma sana Mr Rocky huwezi amini.....yan jamaa wamedhihirisha jinsi gani wanavyotunyima haki watanzania....!
  Ila naamini ipo siku hii sheria itabadilishwa tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280

  Mkuu wacha tuu aise
  Wanataka tufe bila kudai mafao yetu waje watumbue wao na watoto wao
   
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh hawana ubinadamu hata kidogo na bunge limekuwa kwa manufaa ya watu wachache...
  Anyway tuache mambo yatajipa yenyewe tu.
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Erickb52 mbona sijakuona kwenye mjadala wa utawala wa kaka mkubwa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...