Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,125
Hata akiiona hii stahili bado hinahitaji muda.Hajaiona Diamond,maana dogo kwa ku copy ni kama dodoki
Duh!Kumbe yondo Sister alishakufa,mungu amuweke mahali pema peponi!Huyo kasuka rasta kama za marehemu YONDO SISTER
Atazing'oa nywele zote!Style kama hii usije ukapigana na mtu
Kwa kweli ni mzigo usikuwa wa lazima!duuuh kilo mbili za nywele tu.
Kwa wewe unachukulia mambo kwa uraisi,lakini kuna watu hawawezi kukubali!style nyingine unaacha tu zikupite......
Mkuu usiogope nywele hizi ni laini sana!Hahahahahahahaaaa...lol
Steel wire weka nyuma
Kwa hiyo kitu kama hii inamwitaji Diamond kuchukua miaka sita,ili kuifikia!Staili hii inanikumbusha Biblical Samson,yule wa Delila
Huyo kasuka rasta kama za marehemu YONDO SISTER
mmh niko nyuma ya taarifa, kumbe yondo sister amefariki?
mmh niko nyuma ya taarifa, kumbe yondo sister amefariki?