HAYA TENA MAFUNDI WA KIBONGO IGENI HII STYLe


S

Shakidinkili

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Messages
459
Likes
37
Points
45
S

Shakidinkili

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2013
459 37 45
AAAAAAAAH Mzizimkavu. Usinichoshe, nisikuchoshe-- Mwanzo mgumu, niletee vipimo uone nitakavyochacharika.
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,433
Likes
1,750
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,433 1,750 280
Kazi nyingi za kibongo hazipendezi kwenye umaliziaji lkn inawezekana
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,581
Likes
851
Points
280
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,581 851 280
Waoh nimeupenda huo ubunifu. Ngoja nimtafute fundi mzuri wa magrill l am sure wanaweza kunitengenezea kabati lenye kitanda kwenye library yangu.
 
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
7,363
Likes
1,608
Points
280
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
7,363 1,608 280
Kwa kula ugali wa dona na mboga ya mlenda, kila siku tutakuwa tunashangilia ubunifu wa wenzetu wazungu !!! Mipango ya maendeleo ingekuwa mathubuti watu wangeshiba vizuri na akili ya kubuni ingekuwepo; lakini wapi vipaumbele vya watawala wetu ni kuzunguka zunguka kila pembe ya dunia kutumia rasilimali zinazohitzjika kuliendeleza taifa!!!
 
mgeni10

mgeni10

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
1,112
Likes
6
Points
135
mgeni10

mgeni10

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
1,112 6 135
MziziMkavu , hii labda kwa hisani ya watu wa marekani
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,250,637
Members 481,436
Posts 29,740,013