Haya tena hii pcha ya wapi jamani?

Haya tena hii pcha ya wapi jamani?

Nafikiri huo ndiyo ukweli kuwa Wazungu/Wakristo wameshafanya maovu mengi sana kwa jina la KRISTO.

Ikafika hatua wakaona sasa imefika mwisho wa sisi kuuwana na wakaweka hii kitu inaitwa NWO yaani New World Order na vita wamezihamishia kwenye Mataifa mengine na zaidi zaidi Asia na Africa. South America kwa sasa kumetulia na jamaa hawataki tena kuburuzwa na watu wa West kwa faida yao wenyewe huku wenyewe South America wakiuwana kama nzi.

Sasa pamoja na uwezo na ubaya wao wa kuuwa, unapoona mtu anataka kuanza kupigana nao, basi lazima ujuwe unaanzisha the losing battle. Jamaa kama wakishaona wamekupiga kwa kila hali na wameshindwa kama ilivyo Iran, si wanakupandia tu Uyoga hapo kwenye nchi yako? Na uyoga tuusikie tu maana NUKE madhara yake ni hadi miaka 100 yataendelea kuwepo.

Namuheshimu Mchina, Emirates na Indonesia ambaye aliona atapigana na West kwa kutumia Uchumi na siyo Silaha maana kwa Silaha na roho mbaya, jamaa wapo juu sana na ukitaka kujua, angalia Thread ya kwanza maana hizo vita zote zimebeba watu wengi sana. Nina IMANI hata mashambulizi ya USA wakati wa Bush Jr ni wao walipanga na kuwaachia vijana wafanye unyama. Sidhani kama hawakujua nini kitatokea. Wanatuendesha kama wao wanavyotaka.

Sasa ukiona kinchi kidogo kama Tanzania nacho eti kinajiingiza kwenye vita za kidini, nafikiri hata Wazungu na Waarabu huwa wanatucheka sana kwa hilo. Kama hamuamini, muulizeni Barubari na mtashangaa kwa hilo hata hachangii maana anatuona sisi Mipingo hamnazo. Vita karibu zote hizo hazikutuhusu sisi Waafrica weusi. Sisi badala ya kulaani UKOLONI au UTUMWA ambao uliletwa na Waarabu na Wazungu, unaona tunashabikia Aborigani, Vita ya Kwanza na Pili ya dunia, Mabomu ya NUKE huko Nagasaki na Hiroshima nk nk.

Ehhh, hivi wee Mpingo huna cha kulalamikia? Kwa nini usilalamike kuwa South Africa Makaburu yalitunyonya? Congo hadi leo kuna vita na weusi wanakufa ila sisi tunalaani Palestine. Form 4 zaidi ya nusu wanafeli, sisi tunalaani Nuke huko Japan. Dar hakuna maji wala umeme, sisi tunalaani vita ya kwanza/pili ya dunia....... Haki ya Nani TUMELOGWA na aliyetuloga ameshakufa na Antidote yake hatuna.

AMKA MTU MWEUSI, JIFIKIRIA SASA NA WEWE.
 
35480_508202685884713_1255256138_n.jpg



"Who started the First World War? Muslims?

Who started the second World War? Muslims?

Who Killed about 20 millions of Aborigines in Australia? Muslims?

Who Threw Nuclear bombs on Hiroshima and Nagasaki? Muslims?

Who Killed more than 100 millions of Red Indians in North America? Muslims?

Who killed more than 50 millions of Red Indians in Southa America? Muslims?


Who took about 180 millions of African people as slaves and killed 88% of them and threw in atlantic oceans? Muslims?

No! They were not Muslims. 1st of all you have to define terrorism properly...

If a non-Muslim does something bad, it is a crime.... But if a Muslim does same he is a terrorist???

Remove this double standard then come to the point!!!

Acha historia.Ongea kinachoendelea dunia ya sasa hivi
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1361889652613.jpg
    uploadfromtaptalk1361889652613.jpg
    57 KB · Views: 48
Back
Top Bottom