duh! inamaana jina la tanzanite ndo linapotea kabisa??
RichLand huh??!!
It's true what they say, isn't it - the proof of the pudding is in eating!! Da bastodos must have acquired an unimaginable worthy while paying peanuts to our coffers. Now slyly coming up with the re-branding grand gesture... What a snub to a name that least tried to acknowledge the origin of the gemstone. How dare!! Can the government intervene by putting an injunction... is it possible?!
Richland mkuuIpi hiyo mkuu?
Huyu nadhani hana tija tena kwao. Alikuwa pale akiwakilisha interests za mkubwa wake fulani zilizomlazimu aombe kuachia ngazi kazi ya ubalozi kule kwa Madiba ili eti awe mfanya biashara!Labda wanataka kuondokana na harufu ya utanzania,
Wameanza kwa kumuondoa Ami Mpungwe kwenye u-CEO wakaona hiyo haitoshi wakaamua kubadili na jina.
Nadhani kama si kwamba tanzanite inaelekea kuisha basi kutakuwa na agenda ya siri(kukimbia kulipa kodi) maana hizi ndizo mbinu zao hawa makaburu.