Haya sio Mapenzi bali Uroda

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
4,160
2,000
Hilo sawa ndio limbwata , sio haya mengine ya kutiana uchizi
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,948
2,000
Mke wako bado ni huyu wa kwenye hii thread hapo chini?

Maana mwaka jana ulisema mna miaka 3, of which mwaka huu hesabu ingekuwa 4.

Grand ma

JF-Expert Member
Nov 5, 2020
298
1,000
Ebwana eheee nimeoa miaka Saba iliyopita lakini cha kushangaza sasa kila siku unaambiwa mapenzi yazidi kuongezeka na sasa si mapenzi tena Mwanaume mwenzenu napata uroda.

Asubui nikiamka nakuta maji bafuni zamani maji ya kuoga alikua anayaunga na karafuu Ila sasaivi ameongeza anaweka majani ya mdarasini na mchaichai, katika mapishi ndo usigusee kabisaa Kila siku nakula radha mpyaa katika chakula binzari haikosii.

Kitandani Kila siku twalalia shuka jeupee na kabla sijalala nafanyiwa masaji ya buree na mafuta ya tende. Kila siku napewa mtindo mpyaaa Sio ya mbuzi kagoma tu, Kuna ile popo kanyea mbingu bhana,nikilala hoiii unaambiwa Kama mbeba viroba kariakoo shimoni.

Jamani kuoa raha nyiee.
Mungu aitunze ndoa yenu
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
7,019

Hebu tuma namba yake nimwelekeze kitu kuna utamu amesahau kukupatia mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom