Haya sio Mapenzi bali Uroda

Sisi tuliooa wenye Masters tunanyooka, alafu ukute ni Upande wa sheria, utajuta
Komaaa komaa mzee huo ni msalaba wako hadi goligota

Hivi kwenye ndoa kuna uzoefu?

Mimi najua kila mtu anabeba zigo lake mwenyewe

Wengine walibeba sura halafu zinawasumbua

Wengine walibeba wowo au makalio yanawatokea puani

Wengine walioa vimbaumbau sura ngumu miguu kama chaga wanaishi kwa furaha na amani tele na ndoa zipo imara

Wengine walio miguu ya bia wana raha na amani

Tatizo ndoa kila mtu anabeba tatizo lake hakuna uzoefu
 
Back
Top Bottom