usista du kazi
ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa au tu assume anavaa sana high hils (sina uhakika na hzo spelling hope umenielewa)Hivyo vigimbi vinatoka na kutembea kwa mguu sana
Hicho kigimbi sasa hata changu kina unafuu
huyu kajikomaza mwenyewe Heaven Sent
Ha ha ha sasa huko kukomaaa kumesababishwa na nini maan hvyo vigimbi dah!