Haya sasa....

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,765
104,924
Hii print screen hapa chini ni moja ya profiles za mdada anayetafuta mtu wa kucheat naye. Kuna watu wanasemaga eti wanawake hawachitigi bila sababu - sijui hata maana yake ni nini. Hapo chini pasemapo "Preferences and encounters I am open to" soma jinsi mdada anavyojielezea. Kaolewa, anatafuta infii, ila hana mpango wa kumwacha mumewe!

Chonde chonde mlio kwenye ndoa. No one is safe from infidelity. No one.
 

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,718
1,378
Madudu gani umetuwekea leo ? haya ni matatizo ya kukesha Calabash nenda kalale mkuu ULEVI NOOMA!
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,765
104,924
Anatafuta mtu wa kuchiti au wa kuchati nae? Mimi najua wamama walio kwenye ndoa wanachati tu hawachiti.

Hahahaa stop it Nyumba Kubwa! Anatafuta mwanamme wa kumtomba! Kutomba/kutombwa ndiyo kuchati? Hebu acha masikhara yako bana.
 

Oak

Member
Sep 6, 2011
34
18
Nyani Ngabu; Hahahaa stop it Nyumba Kubwa! Anatafuta mwanamme wa kumtomba! Kutomba/kutombwa ndiyo kuchati? Hebu acha masikhara yako bana.

Mkuu maneno makali sana hayo tumia tafsida
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,765
104,924
Nyani Ngabu; Hahahaa stop it Nyumba Kubwa! Anatafuta mwanamme wa kumtomba! Kutomba/kutombwa ndiyo kuchati? Hebu acha masikhara yako bana.

Mkuu maneno makali sana hayo tumia tafsida

Hapa twalonga jahara bana. Nakshi nakshi za nini?
 

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,153
9,017
NN Kuacha ku nanili au kunaniliwa ni chaguo la mtu au matatizo fulani na si ndoa....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom