Haya sasa wanawake hakuna kuchuchumaa tena

Haya sasa wanawake hakuna kuchuchumaa tena

Kwahiyo wameamua kuvaa helment???....sasa hapo tuta access vipi???....anyway tufauti zetu hazipo kwenye mikao ya kukojoa tu,...so wana kazi kwelikweli.
hvi unajua matumizi ya helment kwel wewe?
 
Sidhani ka ilifanyiwa utafiti, naona bado ndo wanaifanyia majaribio na hakuna aliyeinunua hiyo. Angalia ilivyokaa, utadhani mberi. Sasa, kama akijisahau akachelewa kutoa nje si nguo zote mbele zishalowa?? Utafiti huu, wawape wale vikojizi walale nazo ili zichuruzie mvunguni tu.
 
Kumbuka tofauti kubwa ni cylender/piston,sasa wanaona tukikojoa tumecmama tunafaidi xana!
 
haiwez kuwa sawa kamwe,mpaka kiama,mungu mwenyewe,ameamua iwe hvyo,hakuna wa kupinga,mwanamke anapendeza akijisaidia haja ndogo huku amechuchumaa
 
Unavua nguo zote ndo unabadika au ukishabandika inabaki humohumo??? Kama inatolewa unaosha unahifadhi au unatupa?? Afadhali kuchuchumaa mara mia, hiyo dushe ukimaliza kukojoa uioshe bado na uoshe na mbunye ni kupoteza muda tuu.
kweli ni kupoteza muda tu maana huwezi kuiacha na mkojo itanuka
hakuna shortcut huwezi cheza na asili
 
Back
Top Bottom