Haya sasa kumekucha tena!!!!!


Kumbe ni dhambi ya tokea enzi hizo!!!!!!!!!!!!
 
Ni lazima sasa tujue kuwa ulimwengu wa roho(spiritual world) ndo una drive dunia. The Devil has its part and Jesus has his tasks taking place on earth too. Haya yote ni matokeo ya hizi nguvu mbili. Ukilijua hili mambo kama haya na mengine meeengi yatarajiwayo hayatasumbua akili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…