Ngoja nikuelekeze nenda kwenye website yao ya police alafu angalia sehemu iliyo andikwa DOWNLOADS then click pale alafu utakuta list nyingi sana za download den chagua husika alafu daownload uatapata form yakomkuu mbona nimejaribu kufungua websit yao sijao hili tangazo vp sasa nitalipata wap?
Ngoja nikuelekeze nenda kwenye website yao ya police alafu angalia sehemu iliyo andikwa DOWNLOADS then click pale alafu utakuta list nyingi sana za download den chagua husika alafu daownload uatapata form yako

Hilo tangazo nimeliona limebandikwa pale udsm notice board ya utawala.kwanza wanataka graduates wa mwaka huu wenye fani za Llb,public administration,Human resources mgt,sociology,computer science na Information technology.form zote zipelekwe kwa dean of students.over
Vipi kwa ambao tuko mtaani. Nyie polisi vipi? Kwa nini msingetoa offer kwa wanaopenda kwenda huko toka mtaani hata mkaweka limitation ya age na mwaka mtu aliomaliza chuo.
Napenda kuvaa jezi jamani, mnionee huruma polisi.