Haya ni mawe gani?

mkuu naweza kuyachukua kwamahitaji katika shughuli zangu njoo dm tupeane mawasiliano tafadhari.
 
Watanzania ni wapumbavu na kujifanya wajuwaji,mwengine anakwambia yatupe ni uchafu,mbumbumbu wa mwisho hayo mawe hayawezi kuwa uchafu yatakuwa na thamani sema ni ndogo.Kesho na keshokutwa wakija wageni wanajiokotea tu utajiri ninyi mnabaki na ujuwaji huku hamna kitu.Mleta mada subiri wataalam watakwambia ni mawe gani na thamani yake.Watanzania punguzeni ujuwaji huku hamjuwi kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…